Ufafanuzi wa uainisho katika Kiswahili

uainisho

nomino

  • 1

    upangaji wa vitu katika makundi ya jinsi au ngeli moja.

    uanishaji

Matamshi

uainisho

/uajini∫ɔ/