Ufafanuzi wa uanafunzi katika Kiswahili

uanafunzi

nomino

  • 1

    hali ya kuwa katika mafunzo.

Matamshi

uanafunzi

/uwanafunzi/