Ufafanuzi wa uanahalali katika Kiswahili

uanahalali

nominoPlural uanahalali

  • 1

    hali ya kutokuwa mwanaharamu.

Matamshi

uanahalali

/uwanahalali/