Ufafanuzi wa uasherati katika Kiswahili

uasherati

nominoPlural uasherati

  • 1

    tabia ya kupenda kuzini.

    dondoo, kiranga, uzinifu, ufasiki, uzinzi, umalaya

Asili

Kar

Matamshi

uasherati

/uwa∫ɛrati/