Ufafanuzi wa ubahili katika Kiswahili

ubahili

nominoPlural ubahili

  • 1

    hali ya mtu kubania pesa au mali hata kwa haja zake mwenyewe.

    ugumu, hiana

Asili

Kar

Matamshi

ubahili

/ubahili/