Ufafanuzi wa ubainifu katika Kiswahili

ubainifu

nominoPlural ubainifu

  • 1

    uelezaji wa waziwazi.

    ufafanuzi

  • 2

    utambuzi, ujuaji

Asili

Kar

Matamshi

ubainifu

/ubaInifu/