Ufafanuzi wa uboo katika Kiswahili

uboo

nomino

  • 1

    utupu wa mbele wa mwanaume.

    uume

Matamshi

uboo

/ubÉ”:/