Ufafanuzi wa uborongaji katika Kiswahili

uborongaji

nomino

  • 1

    ufanyaji ovyoovyo wa jambo.

    uharibifu

Matamshi

uborongaji

/ubɔrɔngaʄi/