Ufafanuzi wa uchane katika Kiswahili

uchane

nomino

  • 1

    ubale wa muwaa, ukindu au kuti.

  • 2

    fungu la ndizi zilizoshikana katika kikonyo chake.

Matamshi

uchane

/utʃanɛ/