Ufafanuzi wa uchochezi katika Kiswahili

uchochezi

nominoPlural uchochezi

  • 1

    tabia ya kuwatia watu maneno ili wapate kupigana au kutukanana.

    uchonganishi, chokochoko, fukufuku

Matamshi

uchochezi

/utʃɔtʃɛzi/