Ufafanuzi wa uchomaji katika Kiswahili

uchomaji

nomino

  • 1

    namna ya kuchoma.

Matamshi

uchomaji

/utʃɔmaʄi/