Ufafanuzi wa uchongeaji katika Kiswahili

uchongeaji

nominoPlural uchongeaji

  • 1

    tabia ya kupenda kufitini wenzako.

    uchongezi

Matamshi

uchongeaji

/utʃɔngɛjaʄi/