Ufafanuzi wa udekani katika Kiswahili

udekani

nominoPlural udekani

Kidini
  • 1

    Kidini
    cheo cha kiongozi wa kanisa katika baadhi ya madhehebu ya Ukristo ambacho ni chini ya upadri.

  • 2

    Kidini
    cheo cha muumini wa madhehebu ya Kiprotestanti ambaye hufanya shughuli mbalimbali za kanisa.

Asili

Kng

Matamshi

udekani

/udɛkani/