Ufafanuzi wa udogo katika Kiswahili

udogo

nominoPlural udogo

  • 1

    hali ya kutokuwa na ukubwa wa umbo, cheo au umri.

  • 2

    uchache

Matamshi

udogo

/udɔgɔ/