Ufafanuzi wa udugu katika Kiswahili

udugu

nomino

  • 1

    uhusiano kutokana na uzawa mmoja.

    ujamaa

Matamshi

udugu

/udugu/