Definition of udurusu in Swahili

udurusu

noun

  • 1

    shughuli ya kupitia tena maandishi yaliyoandikwa zamani kwa madhumuni ya kusahihisha, kuboresha au kuongeza ili kutoa chapisho jipya.

  • 2

    usomaji au upitiaji tena wa maandishi kwa mazingatio.

Pronunciation

udurusu

/udurusu/