Ufafanuzi msingi wa uendelezaji katika Kiswahili

: uendelezaji1uendelezaji2

uendelezaji1

nominoPlural uendelezaji

  • 1

    namna ya kufanya kitu au mambo kufikia katika hatua za mbele.

Matamshi

uendelezaji

/uwɛndɛlɛzaʄi/

Ufafanuzi msingi wa uendelezaji katika Kiswahili

: uendelezaji1uendelezaji2

uendelezaji2

nominoPlural uendelezaji

  • 1

    uandikaji au utamkaji wa herufi moja baada ya nyingine katika neno.

Matamshi

uendelezaji

/uwɛndɛlɛzaʄi/