Ufafanuzi wa ufadhili katika Kiswahili

ufadhili

nominoPlural ufadhili

  • 1

    tendo la kutoa msaada au kufanya hisani.

Matamshi

ufadhili

/ufaðili/