Ufafanuzi wa ufujaji katika Kiswahili

ufujaji

nomino

  • 1

    hali ya kuharibu au kutumia vibaya kitu k.v. mali na chakula, n.k..

Matamshi

ufujaji

/ufuʄaʄi/