Ufafanuzi wa ufundi katika Kiswahili

ufundi

nominoPlural ufundi

  • 1

    ujuzi au uwezo fulani wa kutenda jambo.

    uhodari, ufarisi, ubingwa, utaalamu, ustadi

  • 2

    kazi ya maarifa fulani k.m. uashi, useremala, uhunzi au umakanika.

Matamshi

ufundi

/ufundi/