Ufafanuzi wa ufyekaji katika Kiswahili

ufyekaji

nominoPlural ufyekaji

  • 1

    namna ya kukata miti au nyasi ili ziwe fupi.

  • 2

    namna ya kuua k.v. adui wakati wa vita.

Matamshi

ufyekaji

/ufjɛkaʄi/