Ufafanuzi wa ugavi katika Kiswahili

ugavi

nominoPlural ugavi

  • 1

    tendo la kugawa na kusambaza huduma, vitu, n.k..

    ‘Ugavi wa umeme’
    ugawaji

Matamshi

ugavi

/ugavi/