Ufafanuzi msingi wa ugeni katika Kiswahili

: ugeni1ugeni2

ugeni1

nominoPlural ugeni

 • 1

  hali ya kutozoea mahali, kazi, n.k..

 • 2

  hali ya kutokuwa mwenyeji.

Matamshi

ugeni

/ugɛni/

Ufafanuzi msingi wa ugeni katika Kiswahili

: ugeni1ugeni2

ugeni2

nominoPlural ugeni

 • 1

  mtu au kundi la watu linalotembelea mahali fulani rasmi.

  ‘Leo tuna ugeni kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Duniani’

Matamshi

ugeni

/ugɛni/