Ufafanuzi wa ugoe katika Kiswahili

ugoe

nominoPlural ngoe

  • 1

    fimbo iliyopindwa nchani inayotumiwa kuinamishia tawi la mti ili kuchuma matunda.

    kigovya, kigoe

Matamshi

ugoe

/ugɔjɛ/