Ufafanuzi wa ugombezi katika Kiswahili

ugombezi

nominoPlural ugombezi

  • 1

    tendo la kuwania au kutetea haki ya mwingine.

Matamshi

ugombezi

/ugɔmbɛzi/