Ufafanuzi wa uhaini katika Kiswahili

uhaini

nominoPlural uhaini

  • 1

    njama za kupindua serikali ya nchi.

Asili

Kar

Matamshi

uhaini

/uhaIni/