Ufafanuzi wa uhakika katika Kiswahili

uhakika

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na yakini ya jambo.

Asili

Kar

Matamshi

uhakika

/uhakika/