Ufafanuzi wa uhandisi katika Kiswahili

uhandisi

nominoPlural uhandisi

  • 1

    utaalamu wa kutengeneza au kuhudumia mitambo, madaraja na barabara.

Matamshi

uhandisi

/uhandisi/