Ufafanuzi wa uhunzi katika Kiswahili

uhunzi

nominoPlural uhunzi

  • 1

    kazi ya kufua vitu vya madini ya chuma au bati k.v. majembe au mashoka.

    usana

Matamshi

uhunzi

/uhunzi/