Ufafanuzi wa uigaji katika Kiswahili

uigaji

nominoPlural uigaji

  • 1

    hali au tabia ya kuiga.

    mwigo

Matamshi

uigaji

/uwigaʄi/