Ufafanuzi wa uimbaji katika Kiswahili

uimbaji

nominoPlural uimbaji

  • 1

    namna ya kutamka maneno kwa sauti ya muziki.

Matamshi

uimbaji

/uwimbaʄi/