Ufafanuzi wa ujauzito katika Kiswahili

ujauzito

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na mimba.

    himila

Matamshi

ujauzito

/uʄauzitɔ/