Ufafanuzi wa ujinga katika Kiswahili

ujinga

nomino

  • 1

    hali ya kutojua kitu fulani.

    ujahili, upumbavu, ubozi, giza

Matamshi

ujinga

/uʄinga/