Ufafanuzi wa ukaidi katika Kiswahili

ukaidi

nominoPlural ukaidi

  • 1

    tabia ya kutosikiliza ushauri wa mtu; ukataaji wa kupokea nasaha.

    ujeuri, ushupavu

Asili

Kar

Matamshi

ukaidi

/ukaIdi/