Ufafanuzi wa ukaria katika Kiswahili

ukaria

nominoPlural ukaria

  • 1

    udongo mwekundu wa madini unaonata na unaotumiwa kwa mapambo k.v. kujipaka kichwani kama wafanyavyo Wamasai, au kupakia nyumba.

Matamshi

ukaria

/ukarija/