Ufafanuzi wa ukinzani katika Kiswahili

ukinzani

nominoPlural ukinzani

  • 1

    hali ya ukaidi.

    upinzani, ubishi

Matamshi

ukinzani

/ukinzani/