Definition of ukoga in Swahili

ukoga

noun

  • 1

    uchafu wa meno.

    ugaga, ugavu

  • 2

    uchafu unaoganda juu ya maji.

Pronunciation

ukoga

/ukɔga/