Ufafanuzi wa ukopi katika Kiswahili

ukopi

nomino

  • 1

    hali ya kuchukua kitu na kuahidi kulipa baadaye.

Matamshi

ukopi

/ukɔpi/