Ufafanuzi wa ukubwani katika Kiswahili

ukubwani

kielezi

  • 1

    katika kipindi cha utuuzima.

Matamshi

ukubwani

/ukubwani/