Ufafanuzi wa ukumbi katika Kiswahili

ukumbi

nominoPlural kumbi

  • 1

    sehemu katika nyumba maalumu ya kupokelea wageni au kufanyia mazungumzo.

    ukumbizo, sebule

  • 2

    chumba kikubwa katika jengo ambacho hutumika kufanyia mikutano, maonyesho, burudani, n.k..

Matamshi

ukumbi

/ukumbi/