Ufafanuzi wa ukunjo katika Kiswahili

ukunjo

nomino

  • 1

    hali au namna ya kukunjwa.

    upeto, ubindo

Matamshi

ukunjo

/ukunʄɔ/