Ufafanuzi wa ukunjufu katika Kiswahili

ukunjufu

nominoPlural ukunjufu

  • 1

    tabia au hali ya kuchangamka.

    uchangamfu

Matamshi

ukunjufu

/ukunʄufu/