Ufafanuzi wa ulaanifu katika Kiswahili

ulaanifu

nominoPlural ulaanifu

  • 1

    hali ya kulaani.

    ushakii

Matamshi

ulaanifu

/ula:nifu/