Ufafanuzi wa ulainishaji katika Kiswahili

ulainishaji

nomino

  • 1

    hali ya kufanya kitu kiwe laini au nyororo.

Matamshi

ulainishaji

/ulajini∫aʄi/