Ufafanuzi wa uledi katika Kiswahili

uledi

nominoPlural uledi

  • 1

    mtumishi wa cheo kidogo anayefanya kazi katika chombo cha baharini k.v. kukisafisha na kuwapatia watumishi wengine chakula.

Matamshi

uledi

/ulɛdi/