Ufafanuzi wa ulemavu katika Kiswahili

ulemavu

nominoPlural ulemavu

  • 1

    hali ya kuwa na kiungo cha mwili chenye hitilafu; hali ya kulemaa.

Matamshi

ulemavu

/ulɛmavu/