Ufafanuzi wa ulili katika Kiswahili

ulili

nominoPlural lili

  • 1

    aina ya kitanda kinachobebwa na kuchukuliwa juu kwa juu.

  • 2

    namna ya ulingo.

Matamshi

ulili

/ulili/