Ufafanuzi wa uloo katika Kiswahili

uloo

nominoPlural uloo

  • 1

    fimbo ya chuma ambayo mwishoni ina kipindo kama ndoana ambayo hutumiwa na wavuvi kuvutia samaki wakubwa katika maji ili kuwapakia kwenye chombo.

Matamshi

uloo

/ulɔ:/