Ufafanuzi wa umakinifu katika Kiswahili

umakinifu

nomino

  • 1

    hali ya kufanya jambo kwa utulivu na ustadi.

Matamshi

umakinifu

/umakinifu/