Ufafanuzi wa umika katika Kiswahili

umika

kitenzi elekezi

  • 1

    toa damu mwilini kwa kutumia ndumiko; piga chuku.

Matamshi

umika

/umika/